Mapambano yanaendelea, tutakaa vizuri - Nugaz

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Apr 2021
Mapambano yanaendelea, tutakaa vizuri - Nugaz

Afisa Mhamasishaji wa klabu ya Yanga Antonio Nugaz amesema kuwa lawama wanazipokea kwani wanafahamu ni jukumu lao kuhakikisha Yanga inafanya vizuri kuwapa furaha mashabiki

Baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC jana, mashabiki wa Yanga kwa wingi wao wameutupia lawama uongozi kutokana na mfululizo wa matokeo yaliyoridhisha

Katika michezo saba ya duru ya pili Yanga imeshinda mchezo mmoja tu, imepoteza mmoja na kutoka sare michezo mitano

Nugaz amesema ni jukumu lao viongozi kuhakikisha timu inarejea katika ushindani lakini pia ni jukumu lao mashabiki kuhakikisha wanaiunga mkono timu yao katika hali zote

"Ni kawaida timu ikifanya vibaya ni ya viongozi ikifanya vizuri ni yetu sote. Ni haki yenu mashabiki kulaumu timu ikifanya vibaya na ni wajibu wetu viongozi kuhakikisha tunatatua matatizo yote ili timu ifanye vizuri"

"Tukilitambua hili hatutapata shida ya kunyoosheana vidole, ila pia kila mmoja wetu ana cha kufanya kuhakikisha timu inapata matokeo mazuri"

"Mshabiki kazi yake ni kuishangilia na kuisapoti timu muda wote na kwenye hali zote. Kikubwa ni kuendelea na mapambano naamini tutakaa vizuri zaidi na tabasamu endelevu litarudi pale pale," alisema Nugaz

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’