Kituo kinachofuata ni dhidi ya Biashara United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Apr 2021
Kituo kinachofuata ni dhidi ya Biashara United

Baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC, kikosi cha Yanga kitakuwa na wiki nzima ya kujiandaa na mchezo unaofuata kwenye ligi kuu dhidi ya Biashara United

Mchezo huo utapigwa Jumamosi ijayo, April 17 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, muda ni saa moja usiku

Yanga bado ina mechi nyingine tatu ambazo watacheza katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Michezo hiyo ni dhidi ya Biashara United (April 17), Gwambina (April 20) na Azam Fc (April 25)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
51m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’