FT : Yanga 1-1 KMC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Apr 2021
FT : Yanga 1-1 KMC

Yanga imeshindwa kuondoka na alama zote tatu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC uliomalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Wananchi walilazimika kutokea nyuma kusawazisha kwa bao la Yacouba Sogne alilofunga kwa kichwa kwenye dakika ya 47

Makosa katika safu ya ulinzi yaliipa nafasi KMC kutangulia kwa bao la kuongoza lililofungwa na David Bryson katika kipindi cha kwanza

Ulikuwa mchezo mgumu ambao ulitawaliwa na matumizi makubwa ya nguvu, KMC walifanya madhambi mengi dhidi ya wachezaji wa Yanga

Yanga inaendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa na alama 51

Hata hivyo sio matokeo ambayo Yanga ilihitaji katika kampeni yake ya kuwania ubingwa msimu huu

Mambo bado ni magumu....!

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
14h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
17h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
19h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
19h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’