Usiku wa jana kwa mara nyingine Yanga ilidhihirisha ukubwa wake nje ya Tanzania baada ya wapambe wa bondia kutoka Malawi kupanda Jukwaani wakiwa wametinga uzi wa Yanga ndani ya usiku wa vitasa
Kocha wa bondia huyo na mpambe wake walipendeza kwelikweli ndani ya uzi wa Yanga uliotumika msimu uliopita
Bondia Mmalawi Hannok alimtwanga bondia Mtanzania Segu kwa TKO!
ADVERTISE HERE