Vinara wa ligi kuu ya Vodacom Yanga jioni ya leo wameendelea kujifua katika viwanja vya Avic Town Kigamboni, tayari kwa mchezo dhidi ya KMC Fc, utakaochezwa siku ya Jumamosi ndani ya uwanja wa Benjamin Mkapa, kuanzia saa 1:00 usiku





ADVERTISE HERE