Uongozi wa klabu ya Yanga uko kwenye maandalizi ya kuitisha Mkutano Mkuu wa Wanachama ambao pamoja na mambo mengine, utapitisha mapendekezo ya Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu
Yanga imewataka Wanachama wote bila ya kujali aina ya kadi walizonazo, kulipia ada ya mwaka mmoja

ADVERTISE HERE