Keshokutwa Jumamosi Yanga inarejea kwenye kampeni ya kusaka ubingwa wa 28 watakapoikaribisha KMC katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Yanga imeweka hadharani viingilio vya mchezo ambao Mzunguuko ni Tsh 5,000/- tu
V.I.P B na C ni Tsh 10,000/- wakati V.I.P A ni Tsh 15,000
Wananchi wametakiwa wajitokeze kwa wingi kuiunga mkono timu yao katika mchezo ambao wachezaji wameahidi kuibuka na ushindi
ADVERTISE HERE