Uongozi wa klabu ya Yanga umelaani kufungiwa kwa Makamu Mwenyekiti Fredrick Mwakalebela ambaye amechukuliwa hatua hiyo na TFF licha ya kuwa alikuwa akitekeleza majukumu yake kama kiongozi
Yanga inasubiri taarifa rasmi kutoka TFF ili iweze kukata rufaa pamoja na kuchukua hatua nyingine

ADVERTISE HERE