Maombolezo ya JPM kufikia tamati leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Apr 2021
Maombolezo ya JPM kufikia tamati leo

Leo ni siku ya mwisho ya maombolezo ya kitaifa baada ya kifo cha Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk  John Magufuli.

Rais Magufuli alifariki dunia Machi 17 mwaka huu katika Hospitali ya Mzena mkoani Dar es Salaam. Magufuli alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka mitano na miezi minne tangu Novemba mwaka 2015.

Machi 17 mwaka huu saa 5.03 usiku Rais Samia Suluhu Hassan wakati huo akiwa Makamu wa Rais, alitangaza kifo cha Rais Magufuli na zikatangazwa siku 21 za maombolezo na bendera kupepea nusu mlingoti nchi nzima.

Kwa mujibu wa takwimu, leo ni siku ya 21 tangu kutangazwa kwa siku hizo za maombolezo

Rais Magufuli alizikwa Machi 26 mwaka huu nyumbani kwake Chato mkoani Geita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’