Gharib Said Mohammed 'GSM, ndiye Bosi wa kampuni ya GSM inayoidhamini/Ihisani klabu ya Yanga
Bilionea huyu ni mtu asiye na Makuu, huonekana kwa matukio maalum tu
Jana ilikuwa siku nzuri kwa wachezaji wa Yanga wanaoendelea kujifua kule Kigamboni kwani walipata ugeni wake ambapo GSM alifika kushuhudia mazoezi ya vinara hao wa ligi wanaojiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC




Bila shaka safari yake imewaongezea hamasa vijana kuelekea mchezo wao dhidi ya KMC utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, April 10
Β
ADVERTISE HERE