Baada ya kumaliza majukumu ya timu ya Taifa, kiungo mshambuliaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza amerejea na moja kwa moja kujiunga katika kambi ya Yanga Kigamboni
Ntibazonkiza ameanza mazoezi na wachezaji wenzake yakiwa ni maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC utakaopigwa Jumamosi ijayo, April 10, 2021


ADVERTISE HERE