Katika kumuenzi aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dk John P. Magufuli, leo kutakuwa na mchezo wa kirafiki kati ya Marafiki wa GSM na Waandishi wa habari za Michezo
Mchezo huo ni maalum kabisa katika kuenzi maisha ya Hayati JPM katika kipindi hiki cha maombolezo ya KITAIFA
Mchezo utapigwa kuanzia saa tisa Alasiri uwanja wa Gymkhana
ADVERTISE HERE