Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2020/21 itafikia tamati Julai 11 baada ya Mabadiliko ya Ratiba yaliyotangazwa na Bodi ya Ligi jana
Katika ratiba hiyo iliyotolewa jana, vinara wa ligi Yanga, wao watafunga msimu mkoani Dodoma kwa mchezo dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa uwanja wa Jamhuri
Ratiba hiyo itawalazimu Wananchi kusafiri mkoani Dodoma mara mbili. Safari ya kwanza itakuwa May 19 kuifuata JKT Tanzania siku nne baada ya mchezo dhidi ya Namungo Fc utakaopigwa mkoani Lindi May 19
Yanga imesalia na michezo mitatu tu itakayopigwa nje ya jiji la Dar es salaam dhidi ya Namungo Fc, JKT Tanzania na Dodoma Jiji
ADVERTISE HERE