Mmachinga na rekodi ya mabao inayodumu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Mar 2021
Mmachinga na rekodi ya mabao inayodumu

Ukitaja jina la mkongwe Mohammed Hussein 'Mmachinga' unazungumzia mchezaji mwenye rekodi ya kipekee ndani ya klabu ya Yanga, timu ya Taifa na historia ya soka la Tanzania kwa ujumla

Mmachinga anashikilia rekodi mbili muhimu ndani ya ligi kuu ya Tanzania Bara

Ndiye mchezaji mwenye rekodi ya kufunga mabao 26 katika msimu mmoja wa Ligi Kuu 1995/96

Rekodi hii imedumu kwa zaidi miaka 26 na bado imekuwa ngumu kuvunjwa

Lakini pia mmachinga ndiye mfungaji bora wa muda wote ligi kuu ya Tanzania Bara

Mwamba huyu ameweka kambani mabao 152. Anafuatiwa na mshambuliaji wa Simba John Bocco aliyefunga mabao 136

Kwa wasio fahamu Mmachinga hakuwa akipendelea kupiga mikwaju ya penati hata rekodi ya mabao 26 aliyoweka msimu wa 1995/96 hakukuwa na bao la penati

Kwa sasa Mmachinga ni mwajiriwa wa klabu ya Yanga, akiwa kocha msaidizi wa Yanga Princess

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’