Leo amezaliwa 'legendary' na mchezaji mwenye heshima zake nyingi katika klabu ya Yanga na timu ya Taifa Mrisho Ngasa
Ngasa ndiye anayeshikilia rekodi ya ufungaji bora wa muda wote timu ya Taifa akiwa na mabao 25 . Anafuatiwa na Mbwana Samatta mwenye mabao 18
Ngasa amejipambanua kuwa yeye ni Mwananchi halisi, ameitumikia Yanga kwa mapenzi makubwa kila mara
Wapo wanaoamini kuwa pengine mwamba huyu wa ziwa victoria alistahili kuwemo kwenye hiki kikosi cha Yanga cha msimu huu
Kwa sasa Ngasa anaitumikia klabu ya Gwambina Fc aliyojiunga nayo katika usajili wa dirisha dogo akitokea Ndanda Fc
Kila la kheri mwamba wa Victoria katika siku hii muhimu kwako...!
HAPPY BIRTHDAY NGASA..!
ADVERTISE HERE