Kufuatia mabadiliko ya Ratiba yaliyofanywa na Bodi ya Ligi, Yanga sasa itashuka dimbani April 10 uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili KMC katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Mechi za kombe la FA zitapigwa mwishoni mwa mwezi wa nne










ADVERTISE HERE