Mzee Akilimali kikaangoni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Dec 2017
Mzee Akilimali kikaangoni
Wanachama wa klabu ya Yanga awamu hii wamedhamiria kuiona timu yao inafanikiwa kufikia mabadiliko ambayo mchakato wake umetangazwa juzi na Katibu Mkuu, Charles Mkwasa.

Sasa kuhakikisha hatokei yeyote kupinga mchakato huo kama ilivyotokea kipindi cha nyuma, Wenyeviti wa Matawi yote ya Yanga Tanzania walikutana na kufikia maazimio kadhaa.



Moja ya azimio ni kuutaka uongozi wa Yanga umtimue Katibu wa Baraza la Wazee, Mzee Ibrahim Akilimali ambaye inadaiwa bado hajabadili msimamo wake kuhusu mchakato huo wa mabadiliko.

Msemaji wa Matawi ya Yanga, Kaisi Edwin ambaye ni Mwenyekiti wa Tawi la Uhuru amesema kikao cha wenyeviti wote wa matawi kimeazimia kuandika barua kwa uongozi ili umfutie uanachama Mzee Akilimali
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’