Baada ya siku tisa za huzuni kwa Watanzania kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, awamu ya tano Dk John Magufuli, safari ya maisha ya hayati Magufuli imehitimishwa leo Mjini Chato alikopumzishwa katika nyumba yake ya milele
Ibada ya mazishi ya kiongozi huyo kipenzi cha Watanzania, imefanyika katika makaburi ya familia, Chato


Pumzika kwa amani Rais wetu Dkt. John Pombe Magufuli. Tutakukumbuka daima..!
ADVERTISE HERE