Yanga kurejea kambini leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Mar 2021
Yanga kurejea kambini leo

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema kikosi kinarejea kambini siku ya leo kuendelea na maandalizi ya mechi za ligi na kombe la FA ambazo zitarejea kuanzia April 07 baada ya kipindi cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dk John Magufuli

Bumbuli amesema wachezaji walipewa mapumziko ya siku mbili na sasa wako tayari kuendelea na majukumu yao

"Kikosi leo kinarejea kambini Avic Town kuendelea na programu ya mazoezi kujiandaa na michuamo ya Ligi Kuu na FA. Uongozi ulitoa mapumziko ya siku mbili (J3&J4), kabla ya kurejea kwa kambi ya moja kwa moja hadi April 7, maombolezo yakapomalizika na michuano kurejea," amesema Bumbuli

Kunatarajiwa kuwa na mabadiliko ya ratiba baada ya siku 21 za maombolezo kumalizika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’