Mama Samia aapishwa kuwa Rais wa Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Mar 2021
Mama Samia aapishwa kuwa Rais wa Tanzania

Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan ameapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais Dk John Pombe Magufuli kilichotokea juzi Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam

Mama Samia anakuwa Rais wa kwanza Mwanamke katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tunamtakia kila la kheri katika Majukumu yake ya kuliongoza Taifa la Tanzania

Mwenye ez Mungu ampe uimara wa mwili, akili, subra na uvumilivu, amjaalie hekima ili aweze kutuvusha salama katika kipindi hiki kigumu wakati tukiomboleza kifo cha mpendwa wetu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
29m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’