Leo ni siku ya huzuni kubwa kwa Watanzania baada ya Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan kutangaza kifo cha Rais wetu kipenzi Dk John Magufuli
Hakika tutakukumbuka daima kwa yote mazuri uliyoyapigania na kuyatekeleza katika vipindi vyako vya Uwaziri na Urais wa nchi yetu
PUMZIKA KWA AMANI
ADVERTISE HERE