Ntibazonkiza aanza mazoezi timu ya Taifa Burundi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Mar 2021
Ntibazonkiza aanza mazoezi timu ya Taifa Burundi

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza ameanza mazoezi na kikosi cha timu ya Taifa ya Burundi yakiwa ni maandalizi kuelekea mechi za kuwania kufuzu Afcon 2021 zitakazopigwa mwishoni mwa mwezi huu

Kurejea kwa nyota huyo ni ishara kuwa amepona majeraha yaliyomuweka nje tangu mwezi Januari mwaka huu

March 26 Burundi itakuja Tanzania kucheza mchezo wao dhidi ya Afrika ya Kati

Serikali ya Tanzania imeiruhusu Burundi kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo hu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’