Timu ya vijana ya Yanga, imeendelea kutakata ligi kuu ya vijana U-20, wakipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union
Ni Abdulkarim Yunus aliyepeleka kilio kwa Wagosi wa Kaya akiweka kambani mabao yote mawili
Huo ni mchezo wa pili, Yanga U20 wanashinda ugenini
Mchezo wa kwanza waliwafumua Namungo mabao 2-0 mchezo ukipigwa uwanja wa Majaliwa
Mechi mbili alama sita kibindoni
Mwanzo mzuri kwa vijana...!
ADVERTISE HERE