Uongozi wa klabu ya Yanga umewaarifu wapenzi, wanachama na mashabiki wake kuwa zoezi la utolewaji wa fomu za uanachama bado halijaanza
Taarifa iliyotolewa na Yanga mapema leo, klabu imewataka Wanayanga kuwa watulivu wakati huu ambao yapo mambo muhimu yanakamilishwa katika mchakato wa Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji
Yanga imebainisha kuwa baada ya mchakato huo kukamilishwa, utaratibu wa uanachama utatangazwa
ADVERTISE HERE