Hili la Metacha ni tetesi tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Mar 2021
Hili la Metacha ni tetesi tu

Mapema leo katika mitandao ya kijamii, zimesambaa tetesi kuwa mlinda lango wa Yanga Metacha Mnata amesajiliwa na Simba kwa mkataba wa miaka miwili

Tetesi hizo zikienda mbali zaidi kwa kudai kuwa Simba imekusudia kumtambulisha baada ya mechi za kuwania kufuzu Afcon mwishoni mwa mwezi huu

Ni wazi, hili ni jambo lililotengenezwa kukoleza sintofahamu iliyojitokeza awali

Huu sio wakati wa usajili. Na hata kama Simba wangemsajili, Metacha, hawawezi kumtangaza wakati huu

Metacha bado ana mkataba na Yanga mpaka mwishoni mwa msimu

Tangu Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla atuhumiwe kumpigia simu Metacha kumlaumu kuwa anaihujumu timu, bado jambo hilo halijapoa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’