Real Madrid kuongeza mikataba ya Courtois na Valverde

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
15h ago
Real Madrid kuongeza mikataba ya Courtois na Valverde

Real Madrid imefikia makubaliano ya kuongeza mkataba wa kipa wake Thibaut Courtois hadi Juni 2028, huku tangazo rasmi likitarajiwa kutolewa hivi karibuni.

Aidha, kiungo wa timu hiyo, Federico Valverde, naye amekubali kuongeza mkataba wake hadi mwaka 2031 baada ya pande zote kufikia makubaliano.

Hatua hizo zinaonyesha dhamira ya Real Madrid kuendelea kuwahifadhi nyota wake muhimu kwa ajili ya mipango ya muda mrefu ya klabu hiyo.

More Stories

Singida Black Stars yaichapa Azam 4-2, Sowah atupia mabao mawili

4h ago
READ MORE β†’
Shalulile, Toure waizamisha Polisi Tanzania, Yanga yashinda 2-0 Moshi

9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, Ligi Kuu

Spain kukutana na Ufaransa, England kukabiliana na Norway robo fainali Nations League

10h ago
READ MORE β†’
Ahmad Ally aitangazia vita Simba
Ahmad Ally aitangazia vita Simba
12h ago
READ MORE β†’
Barker afunguka maandalizi ya kuikabili JKT Tanzania

Mourinho aeleza msimamo wake kuhusu Vinicius Real Madrid

13h ago
READ MORE β†’
Walionufaika na waliopoteza wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa.

14h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu ya NBC kuendelea leo: Yanga Moshi, Azam na Singida Bs kukutana Chamazi

18h ago
READ MORE β†’
Miquissone aanza mazoezi Singida Black Stars, kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara

1d ago
READ MORE β†’