Yanga warejea Tanzania bara, sasa kuelekeza nguvu kwa Polisi Tanzania

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
3d ago
Yanga warejea Tanzania bara, sasa kuelekeza nguvu kwa Polisi Tanzania

Kikosi cha Yanga kimeanza safari ya kurejea Tanzania bara baada ya kukamilisha kambi ya siku 10 visiwani Zanzibar, kikiwa sasa kinaelekeza nguvu katika maandalizi ya mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Polisi Tanzania.

Mabingwa hao wanatarajiwa kukutana na Polisi Tanzania Novemba 20 katika Uwanja wa Ushirika, mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora ambao Polisi Tanzania wamekuwa wakionyesha, hasa wanapocheza kwenye uwanja wao wa nyumbani.

Yanga sasa inalazimika kujiandaa vizuri kwa mchezo huo ikiwa na lengo la kupata matokeo mazuri katika safari yake ya kuendelea na kampeni za ligi.

More Stories

Singida Black Stars yaichapa Azam 4-2, Sowah atupia mabao mawili
Singida Black Stars yaichapa Azam 4-2, Sowah atupia mabao mawili
6h ago
READ MORE β†’
Shalulile, Toure waizamisha Polisi Tanzania, Yanga yashinda 2-0 Moshi
Shalulile, Toure waizamisha Polisi Tanzania, Yanga yashinda 2-0 Moshi
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, Ligi Kuu
Highlights : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, Ligi Kuu
11h ago
READ MORE β†’
Spain kukutana na Ufaransa, England kukabiliana na Norway robo fainali Nations League
Spain kukutana na Ufaransa, England kukabiliana na Norway robo fainali Nations League
12h ago
READ MORE β†’
Ahmad Ally aitangazia vita Simba
Ahmad Ally aitangazia vita Simba
14h ago
READ MORE β†’
Barker afunguka maandalizi ya kuikabili JKT Tanzania
Barker afunguka maandalizi ya kuikabili JKT Tanzania
14h ago
READ MORE β†’
Mourinho aeleza msimamo wake kuhusu Vinicius Real Madrid
Mourinho aeleza msimamo wake kuhusu Vinicius Real Madrid
15h ago
READ MORE β†’
Walionufaika na waliopoteza wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa.
Walionufaika na waliopoteza wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa.
16h ago
READ MORE β†’
Real Madrid kuongeza mikataba ya Courtois na Valverde
Real Madrid kuongeza mikataba ya Courtois na Valverde
17h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu ya NBC kuendelea leo: Yanga Moshi, Azam na Singida Bs kukutana Chamazi
Ligi kuu ya NBC kuendelea leo: Yanga Moshi, Azam na Singida Bs kukutana Chamazi
20h ago
READ MORE β†’