Licha ya mapumziko ya ligi mbalimbali, mashabiki wa soka bado wana sababu ya kukaa karibu na televisheni, kwani leo ratiba imejaa michezo ya kusisimua katika mashindano ya UEFA Nations League na kufuzu AFCON.
UEFA Nations League
Turkey vs Belgium — Saa 20:00 EAT
Italy vs France — Saa 22:45 EAT
Czechia vs Spain — Saa 22:45 EAT
England vs Croatia — Saa 22:45 EAT
Macho mengi yataelekezwa kwenye pambano la Italy dhidi ya France, linalotarajiwa kuwa kivutio kutokana na ushindani wa timu hizo na mvuto wa benchi la ufundi.
Kufuzu AFCON
Ghana vs Somalia — Saa 18:00 EAT
DR Congo vs Sierra Leone — Saa 19:00 EAT
Ivory Coast vs Gambia — Saa 22:00 EAT
Senegal vs Sudan — Saa 22:00 EAT