Pacôme Zouzoua aelekea Ufaransa kuhitimisha matibabu ya jeraha lake

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
•
11 Nov 2026
Pacôme Zouzoua aelekea Ufaransa kuhitimisha matibabu ya jeraha lake

Kiungo wa Young Africans (Yanga), Pacôme Zouzoua, amesafiri kuelekea nchini Ufaransa kwa ajili ya kuendelea na taratibu za matibabu ya jeraha linalomkabili.

Mchezaji huyo raia wa Ivory Coast anatarajia kuanza hatua ya mwisho ya matibabu kabla ya kurejea katika mazoezi na kuendelea na majukumu yake ndani ya kikosi cha Yanga.

Kurejea kwake mazoezini kutategemea kukamilika kwa matibabu hayo na hali yake ya kiafya.

More Stories

Singida Black Stars yaichapa Azam 4-2, Sowah atupia mabao mawili

6h ago
READ MORE →
Shalulile, Toure waizamisha Polisi Tanzania, Yanga yashinda 2-0 Moshi

10h ago
READ MORE →
Highlights : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, Ligi Kuu

11h ago
READ MORE →
Spain kukutana na Ufaransa, England kukabiliana na Norway robo fainali Nations League

12h ago
READ MORE →
Ahmad Ally aitangazia vita Simba
Ahmad Ally aitangazia vita Simba
14h ago
READ MORE →
Barker afunguka maandalizi ya kuikabili JKT Tanzania

Mourinho aeleza msimamo wake kuhusu Vinicius Real Madrid

15h ago
READ MORE →
Walionufaika na waliopoteza wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa.

16h ago
READ MORE →
Real Madrid kuongeza mikataba ya Courtois na Valverde

17h ago
READ MORE →
Ligi kuu ya NBC kuendelea leo: Yanga Moshi, Azam na Singida Bs kukutana Chamazi

20h ago
READ MORE →