Kikosi bora cha mwaka 2026 (Team of the Year) kimetangazwa rasmi, kikijumuisha baadhi ya mastaa wakubwa wa soka duniani kutoka katika nafasi mbalimbali uwanjani.
Katika kikosi hicho, David Raya amechaguliwa kuwa golikipa, huku safu ya ulinzi ikiongozwa na Achraf Hakimi, Pau Cubarsí na Nuno Mendes.
Kiungo cha kati kinaundwa na Rodri, Jude Bellingham na Vitinha, huku safu ya ushambuliaji ikiwa na Lionel Messi, Erling Haaland, Kylian Mbappé na Lamine Yamal.
Kikosi kamili cha mwaka 2026:
ADVERTISE HERE