Mashujaa FC yaifunga Polisi Tanzania 2-1

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
2h ago
Mashujaa FC yaifunga Polisi Tanzania 2-1

Mashujaa FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa NBC Premier League uliomalizika hivi punde.

Mashujaa ilianza kuandika ushindi huo kupitia Mishamo Daudi, aliyefunga bao la kwanza dakika ya 32, na kuifanya timu yake kwenda mapumziko ikiwa mbele kwa bao 1-0.

Polisi Tanzania walirejea kipindi cha pili na kusawazisha kupitia Anuary Jabir, aliyefunga kwa mkwaju wa penalti dakika ya 52 na kurejesha matumaini kwa upande wao.

Hata hivyo, Mashujaa ilipata penalti dakika za mwisho za mchezo, ambapo Michael Joseph alifunga dakika ya 90+ na kuipa timu yake ushindi wa mabao 2-1.

ADVERTISE HERE

More Stories

Nyota wawili waripotiwa kupigana mazoezini Real Madrid
Nyota wawili waripotiwa kupigana mazoezini Real Madrid
1h ago
READ MORE β†’
Bajaber arejea Kenya baada ya kuachwa Simba
Bajaber arejea Kenya baada ya kuachwa Simba
3h ago
READ MORE β†’
Coastal Union, Azam FC zatoa kauli kuelekea mtanange wa NBC Premier League
Coastal Union, Azam FC zatoa kauli kuelekea mtanange wa NBC Premier League
3h ago
READ MORE β†’
JKT Tanzania, Fountain Gate watamba kuelekea mtanange wa NBC Premier League
JKT Tanzania, Fountain Gate watamba kuelekea mtanange wa NBC Premier League
5h ago
READ MORE β†’
TPLB yaweka msisitizo wa wajibu kabla ya Kariakoo Derby
TPLB yaweka msisitizo wa wajibu kabla ya Kariakoo Derby
6h ago
READ MORE β†’
Kariakoo Derby - mfumo wa tiketi warejea utaratibu wa awali
Kariakoo Derby - mfumo wa tiketi warejea utaratibu wa awali
6h ago
READ MORE β†’
Ronaldo amtumia Messi ujumbe wa heshima baada ya kuaga Argentina
Ronaldo amtumia Messi ujumbe wa heshima baada ya kuaga Argentina
6h ago
READ MORE β†’
Ligi Kuu NBC inaendelea leo Alhamisi baada ya FIFA break
Ligi Kuu NBC inaendelea leo Alhamisi baada ya FIFA break
6h ago
READ MORE β†’
Wanasimba wajivunia Libasse Gueye kuelekea mtanange wa dabi dhidi ya Yanga
Wanasimba wajivunia Libasse Gueye kuelekea mtanange wa dabi dhidi ya Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Taifa stars yashuka nafasi tatu viwango vya fifa
Taifa stars yashuka nafasi tatu viwango vya fifa
7h ago
READ MORE β†’