JKT Tanzania, Fountain Gate watamba kuelekea mtanange wa NBC Premier League

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu
β€’
1h ago
JKT Tanzania, Fountain Gate watamba kuelekea mtanange wa NBC Premier League

Kocha Mkuu wa JKT Tanzania, Ahmad Ally, amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Fountain Gate, huku akitambua uzoefu na ubora wa mbinu wa kocha wa wapinzani wao, Fred Felix.

Mchezaji wa JKT Tanzania, Offen Chikola, amesema wachezaji wamepokea maelekezo ya kutosha kutoka kwa kocha na jukumu lao sasa ni kwenda kuyatekeleza uwanjani.

Kwa upande mwingine, Kocha Mkuu wa Fountain Gate, Fred Felix β€˜Minziro’, amesema mapumziko waliyopata yamewapa nafasi ya kufanya marekebisho katika kikosi kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya JKT Tanzania, huku akitambua ubora wa wapinzani wao.

Naye mchezaji wa Fountain Gate, Derick Mukombozi, amewatoa hofu mashabiki wa klabu hiyo, akisema maandalizi waliyofanya yamewaweka tayari kwa mchezo huo.

ADVERTISE HERE

More Stories

TPLB yaweka msisitizo wa wajibu kabla ya Kariakoo Derby
TPLB yaweka msisitizo wa wajibu kabla ya Kariakoo Derby
2h ago
READ MORE β†’
Kariakoo Derby - mfumo wa tiketi warejea utaratibu wa awali
Kariakoo Derby - mfumo wa tiketi warejea utaratibu wa awali
2h ago
READ MORE β†’
Ronaldo amtumia Messi ujumbe wa heshima baada ya kuaga Argentina
Ronaldo amtumia Messi ujumbe wa heshima baada ya kuaga Argentina
2h ago
READ MORE β†’
Ligi Kuu NBC inaendelea leo Alhamisi baada ya FIFA break
Ligi Kuu NBC inaendelea leo Alhamisi baada ya FIFA break
3h ago
READ MORE β†’
Wanasimba wajivunia Libasse Gueye kuelekea mtanange wa dabi dhidi ya Yanga
Wanasimba wajivunia Libasse Gueye kuelekea mtanange wa dabi dhidi ya Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Taifa stars yashuka nafasi tatu viwango vya fifa
Taifa stars yashuka nafasi tatu viwango vya fifa
3h ago
READ MORE β†’
Simba yataja sababu kuchelewa mauzo ya tiketi
Simba yataja sababu kuchelewa mauzo ya tiketi
6h ago
READ MORE β†’
Msimu wa tatu wa Safari Lager Cup wazinduliwa
Msimu wa tatu wa Safari Lager Cup wazinduliwa
21h ago
READ MORE β†’
Pedro astaafu soka baada ya safari yenye mafanikio.
Pedro astaafu soka baada ya safari yenye mafanikio.
22h ago
READ MORE β†’
Ahmed Ally: Steve Barker haioni Simba kama mnyonge mbele ya Yanga
Ahmed Ally: Steve Barker haioni Simba kama mnyonge mbele ya Yanga
23h ago
READ MORE β†’