Coastal Union dhidi ya Azam FC yasogezwa.

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
•
1h ago
Coastal Union dhidi ya Azam FC yasogezwa.

Mchezo wa NBC Premier League kati ya wenyeji Coastal Union na Azam FC, uliokuwa umepangwa kuchezwa Oktoba 8, 2026, umefanyiwa mabadiliko ya ratiba na sasa utachezwa siku moja baadaye.

Kwa mujibu wa ratiba mpya, mchezo huo utapigwa Oktoba 9, 2026, kuanzia saa 3:00 usiku, katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, huku timu zote zikitarajiwa kuwania pointi muhimu katika msimu huu wa ligi.

Coastal Union vs Azam FC sasa itakuwa moja ya michezo inayosubiriwa na mashabiki wa soka nchini.

ADVERTISE HERE

More Stories

Olise awasha moto, France yafanya comeback ya 4-1

26m ago
READ MORE →
Selemani Mwalimu aongezwa Tanzania U23
Selemani Mwalimu aongezwa Tanzania U23
1h ago
READ MORE →
Kariakoo Derby, Makocha Kupewa Kadi Mbili za Kuomba Review ya FVS

10h ago
READ MORE →
Rais Mwinyi aridhishwa na kasi ya maandalizi Zanzibar kuelekea Afcon 2027

11h ago
READ MORE →
Kariakoo Derby: TPLB Kuweka Kifaa cha Kugundua Harufu Vyumba vya Kubadilishia Nguo

Proença amkingia kifua Ronaldo, asema bado ana nafasi Portugal.

12h ago
READ MORE →
Tunaendelea na maandalizi makini kuelekea Dabi: Rweyemamu Meneja wa Simba

14h ago
READ MORE →
Clara Luvanga Aweka Historia NWSL, Afunga Bao la Ushindi kwa Washington Spirit

16h ago
READ MORE →
Salmin Kassim aonyesha moto wa ngumi, aangusha KO kali dhidi ya Raquinel

Nyuma ya pazia juu ya ushindi wa Argentina dhidi ya Burkina Faso, mechi yazua utata mkubwa.

1d ago
READ MORE →