Selemani Mwalimu kutua Wydad CA

Joel JJ By Joel JJ
β€’
31 Jan 2025
Selemani Mwalimu kutua Wydad CA

Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha kufikia makubaliano ya uhamisho wa aliyekuwa mchezaji wao Selemani Mwalimu kwenda klabu ya Wydad CA ya Morocco

Mwalimu (19) aliyekuwa akiitumikia Fountain kwa mkopo, amesaini mkataba wa miaka minne kuwatumikia wababe hao wa Morocco

Singida BS haikutaja dau la mauzo ya mchezaji huyo lakini linakadiriwa kufikia Tsh Milioni 800 huku Singida BS pia wakimiliki asilimia 10 ya mauzo endelevu ya mchezaji huyo

ADVERTISE HERE

More Stories

Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia

1h ago
READ MORE β†’
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania

Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto

2h ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo

3h ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea

Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027

6h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto

8h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao

9h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga

Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka

11h ago
READ MORE β†’