Sowah ni suala la muda Singida Black Stars

Joel JJ By Joel JJ
β€’
20 Dec 2024
Sowah ni suala la muda Singida Black Stars

Klabu ya Singida Black Stars imemsusha nchini mshambuliaji raia wa Ghana Jonathan Sowah

Sowah tayari ametua nchini sambamba na Mghana mwenzie, Frank Assinki anayecheza nafasi ya beki wa kati kukamilisha usajili wa timu hiyo dirisha hili la usajili

Hivi karibuni Singida BS ilitangaza kuachana na mshambuliaji raia wa Ivory Coasta Joseph Guede ambaye nafasi yake inakwenda kujazwa na Sowah

Singida BS ilianza mazungumzo na Sowah mapema kabla ya dirisha kufunguliwa baada ya nyota huyo wa zamani wa Medeama Fc kuvunja mkataba wake Libya kunako klabu ya Al Nasr Benghazi

ADVERTISE HERE

More Stories

Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027

2h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto

4h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao

5h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga

Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka

7h ago
READ MORE β†’
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars

CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo

Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or

20h ago
READ MORE β†’
Samatta katika mtihani mzito: Le Havre ikiikaribisha PSG leo

1d ago
READ MORE β†’
Chelsea na Manchester united katika vita ya alama tatu kesho Stamford Bridge