Serikali imesema viti vyote 60,000 katika uwanja wa Mkapa vitaondolewa na kuwekwa vipya
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa ameeleza hatua hiyo ni mwendelezo mpango wa ukarabati wa uwanja huo ambao utakamila mwezi Agosti mwaka huu
Akizungumza na Wasafi FM, Msigwa amesema baada ya kukamilika uwanja huo utatengenezewa utaratibu mpya wa kiuongozi
Kwa sasa Serikali imeendelea kuufunga uwanja huo isipokuwa kwa mechi za CAF CL kwa klabu za Yanga na Simba na baadhi ya mechi za ligi kuu hasa zitakazohusisha klabu za Yanga, Simba na Azam Fc
ADVERTISE HERE