Baada ya kufanikiwa kupenya hatua ya 16 bora kupitia 'best looser', sherehe ya mashabiki wa Ivory Coast haikudumu baada ya kubaini kuwa kwenye hatua iinayofuata wanakutana na mabingwa watetezi, Senegal
DR Congo iliyokuwa kundi F na Tanzania itachuana na Misri wakati Morocco ikichuana na Afrika Kusini
Hii hapa ratiba ya 16 bora

ADVERTISE HERE