Banda kuibukia Singida FG

Joel JJ By Joel JJ
β€’
19 Dec 2023
Banda kuibukia Singida FG

Winga wa zamani wa Simba Peter Banda anatarajiwa kujiunga na klabu ya Singida FG ya mkoani Singida

Banda aliyekuwa akiitumikia Nyasa Big Bullets, ameachana na timu hiyo baada ya mkataba wake wa muda mfupi kumalizika

Banda aliondoka Simba katika dirisha lililopita la usajili kwa makubaliano ya pande mbili akiitumikia timu hiyo kwa misimu miwili

Singida FG tayari imekamilisha usajili wa nyota huyo ambaye atajiunga nao wakati wowote

ADVERTISE HERE

More Stories

Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027

36m ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto

2h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao

3h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga

Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka

5h ago
READ MORE β†’
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars

6h ago
READ MORE β†’
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo

Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or

18h ago
READ MORE β†’
Samatta katika mtihani mzito: Le Havre ikiikaribisha PSG leo

1d ago
READ MORE β†’
Chelsea na Manchester united katika vita ya alama tatu kesho Stamford Bridge