Klabu ya Singida Fountain Gate imetangaza kuwa itacheza na As Vita ya Congo katika tamasha la 'Singida Day' litakalofanyika Singida Jumatano ijayo Agosti 2, kwenye Uwanja wa Liti
Singida FG ambayo itashiriki michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika, itatumia mchezo huo kutambulisha nyota wake wapya iliyowasajili msimu huu
AS Vita tayari wametua nchini wakiweka kambi ya maandalizi ya siku 14
Klabu hiyo pia inatarajiwa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Yanga
ADVERTISE HERE