Mo amteua tena Try Again

Joel JJ By Joel JJ
β€’
28 Feb 2023
Mo amteua tena Try Again

Rais wa Heshima klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amemteua Salim Abdallah 'Try Again' kuendelea na Majukumu ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba

Huu ni mwaka wa pili Try Again anapata uteuzi huo wa kuongoza Bodi ya Wakurugenzi kwa niaba ya Mwekezaji Mo

Mo amesema ana imani na Try Again kuwa ataiongoza Simba kufikia mafanikio makubwa zaidi Afrika na dunian

Jana klabu ya Simba iliandaa hafla maalum ya kuwaaga wajumbe wa bodi iliyopita ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wao na kuwashukuru kwa jitihada zao kubwa za kuifanya Simba kupiga hatua.

Kati yao Murtaza Mangungu, Asha Baraka na Seleman Haroub wao walihudumu kwenye bodi iliyopita na wamechaguliwa tena kuwa wajumbe wa bodi ya Wakurugenzi.

Akizungumza kwenye halfa hiyo, Rais wa heshima, Mohammed Dewji aliwashukuru wajumbe wa bodi iliyopita kwa mchango mkubwa wa maendeleo ya Simba

ADVERTISE HERE

More Stories

De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund
De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund
7h ago
READ MORE β†’
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
9h ago
READ MORE β†’
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
9h ago
READ MORE β†’
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
10h ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
10h ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
11h ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
14h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
16h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
17h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
17h ago
READ MORE β†’