Ligi ya Mabingwa Ulaya yarejea hatua ya 16 bora

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 Feb 2023
Ligi ya Mabingwa Ulaya yarejea hatua ya 16 bora

Baada ya mapumziko ya wiki kadhaa, michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya inarejea hatua ya mtoano (16 bora)

Leo Jumanne mechi mbili zitapigwa kama ilivyo kwa siku ya Jumatano

Matajiri wa Ufaransa PSG wanaanzia nyumbani dhidi ya Bayern Munich katika mchezo utakaopigwa leo

PSG wanahitaji kurejea kuwa katika ubora wao kupata ushindi dhidi ya Beyern Munich katika mchezo huo

Baada ya michuano ya kombe la Dunia ni kama PSG imeyumba kidogo wakitoka kupoteza mechi mbili mfululizo za ligi 1

Mtanange mwingine leo ni kati ya Ac Milan dhidi ya Tottenham Hotspurs

Milan wakiwa nyumbani wana nafasi kubwa ya kushinda dhidi ya Spurs ambayo imekuwa na mwendo usiotabirika msimu huu

Mechi nyingine mbili zitapigwa Jumatano, Club Brugge dhidi ya Benfica huku Borussia Dortmund wakiwakabili matajiri wa London, Chelsea

ADVERTISE HERE

More Stories

Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
1h ago
READ MORE β†’
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
1h ago
READ MORE β†’
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
2h ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
3h ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
4h ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
6h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
8h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
9h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
10h ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
11h ago
READ MORE β†’