Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba Ally Suru amepata msiba wa kufiwa na Mama yake Mzazi.
Mwili wa marehemu umeagwa leo katika Hospitali ya Muhimbili.
Haji Manara Afisa Habari wa Simba ni mmoja wa viongozi waliofika Hospitali ya Muhimbili kuuaga mwili wa marehemu.
Tunampa pole za dhati ndugu yetu Suru kwa msiba huu mzito alioupata. Mungu awape wepesi familia katika kipindi hiki kigumu
Mungu ailaza roho ya marehemu mahali pema Peponi, AMEN.

ADVERTISE HERE