Kamati ya rufaa TFF yabariki kifungo cha Wambura

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Apr 2018
Kamati ya rufaa TFF yabariki kifungo cha Wambura
Kamati ya rufaa ya maadili ya TFF imetupilia mbali rufaa ya Michael Wambura aliyekuwa makamu wa Rais wa TFF ambaye alifungiwa maisha kujihusisha na shughuli za soka.

Kulingana na taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, baada ya kupitia hoja zake za rufaa, kamati ya rufaa ya maadili imejiridhisha na maamuzi ya awali yaliyotolewa na kamati ya maadili kumfungia maisha Michael Wambura.

Wambura aliwasilisha utetezi wake mbele ya Kamati hiyo Jumamosi iliyopita.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
48m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’