Beki Salumu Mbonde ni miongoni mwa wachezaji waliofanya mazoezi leo na kikosi cha Simba kilichoweka kambi mkoani Iringa.
Mbonde alitonesha jeraha lake la goti kwenye mchezo dhidi ya Njombe Mji ambapo alitolewa nje dakika chache kabla ya mchezo huo kumalizika.

Simba itawakosa walinzi wake watatu Erasto Nyoni, Juuko Murshidi na James Kotei kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar wakitumikia adhabu ya kadi tatu za njano.
Inatarajiwa kuondoka Iringa kesho Ijumaa kuelekea mkoani Morogoro tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mtibwa Sugar, Jumatatu ijayo, April 09.

ADVERTISE HERE