Ligi Kuu ya Vodacom mzunguuko wa 23 inatarajiwa kuendelea kesho Ijumaa kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali.
Michezo miwili inatarajiwa kupigwa kesho ambapo Singida United itaikaribisha Mtibwa Sugar huku Mbao FC ikiwa mwenyeji wa Lipuli.
Vinara wa ligi hiyo Simba watakuwa mkoani Morogoro kuikabili Mtibwa Sugar Jumatatu, April 09 2018.
Ratiba kamili

ADVERTISE HERE