Simba yarudi Iringa kuiwinda Mtibwa Sugar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Apr 2018
Simba yarudi Iringa kuiwinda Mtibwa Sugar
Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Njombe Mji jana, kikosi cha Simba kimeondoka mkoani Njombe kurudi Iringa ambako kitaweka kambi ya siku mbili.

Kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa timu hiyo, Simba inatarajiwa kuondoka Iringa keshokutwa Ijumaa kwenda mkoani Morogoro tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mtibwa Sugar.

Simba itacheza na Mtibwa Sugar Jumatatu ijayo, April 09 kwenye uwanja wa Jamhuri.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’