Simba yajipanga kukabiliana na changamoto za viwanja ugenini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Apr 2018
Simba yajipanga kukabiliana na changamoto za viwanja ugenini
Licha ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Njombe Mji jana, Afisa habari wa Simba Haji Manara amesema mazingira ya uwanja wa Sabasaba hayakuwa rafiki.

Manara amesema uzoefu wa benchi la Ufundi na wachezaji vimechangia kwa kiasi kikubwa kuipa ushindi Simba na kukaa kileleni kwa tofauti ya alama tatu.

"Tumepata matokeo katika uwanja ambao haukuwa rafiki kwetu, hilo limeshapita na sasa tunajipanga kwa mchezo unaokuja dhidi ya Mtibwa" amesema Manara.

Manara amesema wanatambua mazingira ya viwanja hasa vya mikoani sio rafiki kipindi hiki cha mvua lakini benchi la ufundi linafahamu hilo na limekuwa likiandaa kikosi kucheza katika mazingira yoyote.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’