Mashabiki wengi wa Simba wamempigia kura nyingi beki/kiungo Shomari Kapombe kuwa nyota wa mchezo wa leo kati ya Njombe Mji dhidi ya Simba.
Kapombe ndiye aliyetengeneza bao la pili la Simba lililofungwa na nahodha John Bocco.
Kapombe amekuwa akimudu vyema nafasi mpya ya kiungo mshambuliaji anayochezeshwa na kocha Pierre Lechantre.
Uwezo wake wa kupeleka mashambulizi mbele na kukaba kwa ufanisi timu inapokuwa inashambuliwa umemfanya aibuke kuwa nyota wa mchezo wa leo kwa kikosi cha Simba

ADVERTISE HERE