Bocco ain'garisha Simba Njombe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Apr 2018
Bocco ain'garisha Simba Njombe
Nahodha wa Simba John Bocco ameendelea 'kuwaadhibu' wale wote waliokuwa na mashaka juu ya uwezo wake mwanzoni mwa msimu wakati uongozi wa Simba ulipompa mkataba mnono baada ya kuachana na Azam FC.

Mabao yake mawili aliyofunga kwenye mchezo dhidi ya Njombe Mji leo yanamfanya afikishe jumla ya mabao 12 akiwa sawa na mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa mwenye mabao 12 pia.

Uzoefu wake umeendelea kuinufaisha Simba inapocheza kwenye viwanja vya mikoani ambavyo vina changamoto nyingi hasa kipindi hiki cha mvua za masika.

Simba imefunga mabao 51 kwenye ligi mpaka sasa, mabao 28 yamefungwa na washambuliaji wawili, Bocco na Mganda Emanuel Okwi mwenye mabao 16.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’