Pata jezi ya Simba kwa Tsh 10,000/- tu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Oct 2017
Pata jezi ya Simba kwa Tsh 10,000/- tu
Bei za jezi sasa ni zinapatikana kwa Tsh 10,000 tu.

Ikiwa ni siku 10 kuelekea mechi kati ya Simba na Yanga klabu ya Simba imetoa ofa maalum ya jezi zake kwa kuziuza shilingi 10,000 tu ili kuwezesha mashabiki wake wengi kununua.

Ofa hiyo inaendana na kauli mbiu maalum iitwayo Twendeni Kisimba inayohamasisha mashabiki kutoka na kuvaa jezi za klabu ya Simba.

Ofa hiyo ni maalumu kwa wakazi wa Dar es Salaam pekee kupitia maduka ya klabu ya Simba ya Uhl Sport.

Kwa maelezo zaidi piga namba 0652961361
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’